Kwa mujibu wa mitindo mipya ya KNEC, kuna masuala nyeti ambayo
watahiniwa wanahitajika kujua:
a) Suala la umuhimu wa mhusika katika kuendeleza ploti
Mtahiniwa azingatie matendo aliyoyatenda au aliyotendewa.
mifano
Tembo anaenda kwa Mama Tembo kunywa pombe.
Tembo anapoteza macho yake baada ya kunywa pombe haramu.
b) Umuhimu wa mhusika katika kukuza hadithi/ riwaya/
tamthilia:
Mwanafunzi azingatie masuala haya:
i) Anavyokuza maudhui
ii) Anavyokuza ploti
iii) Anavyokuza sifa za wahusika
iv) Anavyotambulisha wahusika.
v) Anavyodhihirisha dhamira ya mwandishi
vi) Anavyoibua mbinuishi
vii) Anavyoibua mgogoro
vii) Anvyoibua toni nk
c) Umuhimu ya mandhari- zingatia hoja za umuhimu wa
mhusika.
d) Umuhimu wa mbinu za sanaa kama barua,ushairi,hotuba,rejeshi
nk-zingatia hoja za umuhimu wa wahusika pia.
d) Mwanafunzi atambue kuwa vipengele vya wahusika,maudhui
na mtindo huingiliana katika utahini wa fasihi andishi
NATHAN WANGILA WANYONYI
DORINE CHAN.
Bi Doreen Chan (Kadika Girls)
Victoria Muasya
Edwin A Ombasa
Edwin A Ombasa
Edwin A Ombasa
WORNICKS GISEMBA
Enoch Osugo
Susan Munyi