Joseph Muchwe Karanja alizaliwa mwaka wa 1983. Yeye ni mraibu anaezidi kupata nafuu. Kwenye riwaya ya JUZI YA KUOGOFYA, Karanja anaelezea maisha yake kama mfawithi na mcheshi yaliyo badilika na akawa kioo cha jamii. Anasimulia maisha yake ya ulevini na vile alivyo pitia maisha magumu na vile vile kupitia ndugu na marafiki.
Ni riwaya yenye ukweli wa yale wanayopitia walevi. Riwaya hii vile vile inaelezea hatari zilizopo kule uraibuni. Haya aliyoyapitia Karanja, yamempatia ujuzi wa kusaidia wengine ambao bado wako kwenye hii minyororo. Anawashika mkono, huwafunza maadili mema ili wawe watu wa heshima.
NATHAN WANGILA WANYONYI
DORINE CHAN.
Bi Doreen Chan (Kadika Girls)
Victoria Muasya
Edwin A Ombasa
Edwin A Ombasa
Edwin A Ombasa
WORNICKS GISEMBA
Enoch Osugo
Susan Munyi