Bembea ya Maisha: Maswali na Majibu
Buy Soft Copy
Setbook Pockets Educational

Bembea ya Maisha: Maswali na Majibu

By Edwin A Ombasa & Edwin A Ombasa & Edwin A Ombasa

Price

KES 10.0
Soft Copy Available

About this Book

Nakala hii ya maswali na majibu imeandikwa kistadi kutokana na
uhakiki wa tamthilia ya Bembea ya Maisha iliyoandikwa na Timothy
Arege. Umeandikwa kwa kuiga mitindo mipya ambayo hutumiwa na
baraza la mitihani nchini kutunga mitihani ya kitaifa. Kuna maswali
hamsini. Maswali hayo yanajumuisha madondoo na yale ya kiinsha.
Yote yanalenga kupima uelewa wa vipengele muhimu vya mtindo,
maudhui, mazingira, mtiririko, na uhusika. Mwanafunzi anashauriwa
asome tamthilia yenyewe na mwongozo wake kabla ya kupitia nakala hii
ya maswali na majibu. Kwa kufanya hivyo, ataweza kuielewa tamthilia
barabara.

Book Details

Category: Setbook Pockets
Added on: August 14, 2024
Formats: Digital, Print
Share this book:

You May Also Like

View All
Juzi ya Kuogofya

Juzi ya Kuogofya

Joseph Karanja
KES 200.0
View
Model KCSE Questions with Answers THE SAMARITAN

Model KCSE Questions with Answers THE SAMARITAN

JOHN LARA.
KES 10.0
View
Parliament of Owls Model KCSE Essay Questions With Answers And Summary

Parliament of Owls Model KCSE Essay Questions With Answers And Summary

NATHAN WANYONYI
KES 10.0
View
Mwongozo wa NGUU ZA JADI

Mwongozo wa NGUU ZA JADI

George Kariuki
KES 10.0
View