Kitabu hiki cha Ushairi kinahusisha matini ambayo yamevikusanya
vipera vyote vya fasihi simulizi na kuviwasilisha kwa lugha nyepesi
na sahili. Pia kimeshughulikia aina za mashairi na vigezo mbalimbali
vya kuyaainisha mashairi. Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha
wanafunzi kujisomea na kufanya utafiti wa ziada wakiwa na msingi
bora katika sehemu hizi.
Kitabu hiki kitamfaa sana mwanafunzi yeyote aliye na ari ya
kujisomea na hata kupiga hatua mbele ya mwalimu. Kimewasilisha
maswali ya KCSE kuanzia mwaka wa 2006 hadi sasa. Mwanafunzi
anayejitayarisha kwa mtihani wa KCSE atapata mwelekeo bora kupitia
kitabu hiki ili kumwezesha kufaulu vyema katika Kiswahili.
Ningependa kuwahimiza wanafunzi kukipitia kitabu hiki kabla ya
kukumbana na mtihani wao. Kwa kufanya hivyo watakuwa na chukua
nafasi hii kuwapendekezea walimu wakuu wa shule mbalimbali
nchini, walimu wa Kiswahili na wanafunzi wapendao matokeo bora
kujinyakulia nakala ya kitabu hiki ili kiwanufaishe. Ahsanteni.
Samwel Ochiel Owino
Michael Latim Kegode
Bi Wamaitha (Utumishi Academy)
Bi Doreen Chan (Kadika Girls)
Michael Latim Kegode
Samwel Ochiel Owino
DORINE CHAN.
Bi Wamaitha (Utumishi Academy)
Peter M Kamau
Peter M Kamau
Samwel Ochiel Owino
Michael Latim Kegode
Michael Latim Kegode
VINCENT MUIRURI