TATHMINI YA PAMOJA YA GATUNDU KUSINI 102/1 KISWAHILI KARATASI YA KWANZA
ByMock Exams
Price
KES 10.0(Valid for 7 days)
Soft Copy Available
About this Book
TATHMINI YA PAMOJA YA GATUNDU KUSINI
102/1
KISWAHILI KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI-2025
1.
2.
SWALI LA LAZIMA
Wewe ni katibu wa Shirika la Umoja wa Vijana wa Kudumisha Mazingira. Mmekuwa na kikao
kujadili hatua ambazo zinafaa kuchukuliwa kuhifadhi mazingira nchini. Andika kumbukumbu za
mkutano huo.
Jibu swali moja kati ya haya uliyopewa;
a) Mitandao ya kijamii ina faida nyingi. Jadili
au
b) Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Mchuma janga hula na wa kwao.
au
c) Andika insha itakayoanza kwa maneno yafuatayo;
Nilipomtazama tu, alishusha uso wake kutokana na maovu aliyonitendea