Kiswahili Exams

1 Book Available

Exams for Kiswahili

Kiswahili Exams Books (1)

TATHMINI YA PAMOJA YA GATUNDU KUSINI 102/1 KISWAHILI KARATASI YA KWANZA
Kiswahili Exams

TATHMINI YA PAMOJA YA GATUNDU KUSINI 102/1 KISWAHILI KARATASI YA KWANZA

TATHMINI YA PAMOJA YA GATUNDU KUSINI 102/1 KISWAHILI KARATASI YA KWANZA INSHA JULAI-2025 1. 2. SWALI LA LAZIMA Wewe ni katibu wa Shirika la Umoja wa Vijana wa Kudumisha Mazingira. Mmekuwa na kikao kujadili hatua ambazo zinafaa kuchukuliwa kuhifadhi mazingira nchini. Andika kumbukumbu za mkutano huo. Jibu swali moja kati ya haya uliyopewa; a) Mitandao ya kijamii ina faida nyingi. Jadili au b) Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Mchuma janga hula na wa kwao. au c) Andika insha itakayoanza kwa maneno yafuatayo; Nilipomtazama tu, alishusha uso wake kutokana na maovu aliyonitendea

KES 10.0
Buy Now

Subscribe to Our Newsletter

Get updates on new book releases, educational resources, and special offers.

We respect your privacy and will never share your email with anyone else.